Back

ⓘ Adıyaman
Adıyaman
                                     

ⓘ Adıyaman

Adıyaman ni mji uliopo kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, na pia ni mji mkuu wa Mkoa wa Adıyaman.

Ni mmoja kati ya miji inayokua haraka zaidi katika nchi ya Uturuki. Idadi ya wakazi wa huko inaanzia 100.045 1990 hadi 178.538 2000 kwa mujibu wa sensa zao.

                                     

1. Jina

Mwanzoni mji ulikuwa na jina la Kiarabu Hisnimansur likiwa kama jina rasmi la mji hadi kufikia mwaka 1926, lakini jina hilo likawa gumu kwa watu wa Uturuki kulitamka, na badala yake wakawa wanalifupisha na kuliita adi yaman likiwa na maana ya jina gumu au eneo la jina gumu katika Uturuki. Mnamo 1926, jina hilo likawa ndilo jina kamili la mji huu.

Users also searched:

...