Back

ⓘ Sarah Bernhardt
Sarah Bernhardt
                                     

ⓘ Sarah Bernhardt

Sarah Bernhardt alikuwa mwigizaji tamthilia wa Kifaransa, na mara nyingi hufikiriwa kama miongoni mwa waigizaji maarufu zaidi katika historia ya uigizaji tamthilia duniani. Mwanzoni mwa karne ya 20, aliigiza pia katika filamu za kwanza.

Bernhardt ameanza kujibebea umaarufu katika Ulaya kunako miaka ya 1870, na baada ya muda mchache akawa anafanya shughuli hizo Ulaya na Amerika pia. Aliendeleza heshima yake kama mwigizaji aliyepania katika shughuli hizo, na akapewa jina la utani kama "Mtukufu Sarah".

                                     

1. Viungo vya nje

  • Sarah Bernhardt cylinder recordings, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the University of California, Santa Barbara Library.
  • Sarah Bernhardt katika Internet Broadway Database
  • Sarah Bernhardt katika Find A Grave
  • Works by Sarah Bernhardt katika Project Gutenberg
  • Sarah Bernhardt at the Internet Movie Database
  • The Sarah Bernhardt Pages

Users also searched:

...