Back

ⓘ Klemens wa Aleksandria
Klemens wa Aleksandria
                                     

ⓘ Klemens wa Aleksandria

Titus Flavius Clemens alikuwa mwanafalsafa na mwanateolojia wa Ukristo katika mji wa Aleksandria mwanzoni mwa karne ya 3.

Huhesabiwa kati ya walimu muhimu wa Kanisa la kwanza.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waanglikana na wengineo kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Desemba.

                                     

1. Maisha

Klemens alikuwa mwenyeji wa Ugiriki aliyezaliwa katika familia ya wapagani matajiri mjini Athens.

Baada ya kupokea imani ya Kikristo, alisafiri akitembelea walimu Wakristo katika nchi mbalimbali kama vile Ugiriki, Italia na Palestina hadi Misri.

Huko alipewa nafasi ya kufundisha kwenye Chuo cha Kikristo cha Aleksandria akishirikiana na mwanzilishi wake Panteno.

Jitihada ya Klemens ilikuwa kupatanisha imani ya Kikristo na dhana za falsafa ya Kigiriki. Alifaulu kufafanua Ukristo kwa wasomi wapagani na kuvuta wengi kwenye imani yake mpya.

Klemens alikuwa ndiye mwalimu wa Origene.

                                     

2. Maandishi

 • Clements Stromateis
 • Clements Paedagogus
 • Hypotyposes
 • Clements Protrepticus Archived Mei 16, 2013 at the Wayback Machine.
 • Opera Omnia by Migne Patrologia Graeca with analytical indexes and concordances
                                     

3. Marejeo

 • Burrus, Virginia 2010. Late Ancient Christianity. Philadelphia: Fortress Press. ISBN 978-0-8006-9720-4.
 • Schaff, Philip ed. 2007. Nicene and Post-Nicene Fathers Volume I – Eusebius: Church History, Life of Constantine the Great, Oration in Praise of Constantine. Cosimo. ISBN 978-1-60206-508-6.
 • Ogliari, Donato 2003. Gratia et certamen: the relationship between grace and free will in the discussion of Augustine with the so-called semipelagians. Leuven: Peeters Publishers. ISBN 978-90-429-1351-6.
 • Berger, Teresa 2011. Gender Differences and the Making of Liturgical History: Lifting a Veil on Liturgys Past. Teresa Berger. London: Ashgate Publishing. ISBN 978-1-4094-2698-1.
 • Irvine, Martin 2006. The Making of Textual Culture: Grammatica and Literary Theory 350–1100. Cambridge: Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-03199-8.
 • Seymour, Charles September 1997. "On Choosing Hell". Religious Studies 3 33: 249–266.
 • Ma, Wonsuk ed. 2004. The spirit and spirituality: essays in honour of Russell P. Spittler, Volume 4. New York: Continuum International Publishing Group. ISBN 978-0-8264-7162-8.
 • Kochuthara, Shaji George 2007. The concept of sexual pleasure in the Catholic moral tradition. Rome: Gregorian University Press. ISBN 978-88-7839-100-0.
 • Daniélou, Jean 1962. "Les traditions secrètes des Apôtres". Eranos Jahrbuch 31.
 • Kaye, John 1835. Some account of the writings and opinions of Clement of Alexandria. London: J.G. & F. Rivington.
 • Grant, Robert McQueen 1988. Gods and the One God. Louisville: Westminster John Knox Press. ISBN 978-0-664-25011-9.
 • Bucur, Bogdan G. August 2006. "The Other Clement of Alexandria: Cosmic Hierarchy and Interiorized Apocalypticism". Vigiliae Christianae 60 3: 251–268.
 • Sharkey, Michael ed. 2009. International Theological Commission, Volume 2. San Francisco: Ignatius Press. ISBN 978-1-58617-226-8.
 • Verhey, Allen 2011. The Christian Art of Dying: Learning from Jesus. Grand Rapids: William B. Eerdmans Publishing Company. ISBN 978-0-8028-6672-1.
 • Murphy, Mable Gant 1941. Nature allusions in the works of Clement of Alexandria. Washington D.C.: The Catholic University of America Press.
 • Young, Richard A. 1999. Is God a vegetarian?: Christianity, vegetarianism, and animal rights. Chicago: Open Court Publishing. ISBN 978-0-8126-9393-5.
 • Hägg, Henny Fiskå 2006. Clement of Alexandria and the beginnings of Christian apophaticism. Oxford: Oxford University Press. ISBN 978-0-19-928808-3.
 • Heid, Stefan 2000. Celibacy in the early Church: the beginnings of a discipline of obligatory continence for clerics in East and West. San Francisco: Ignatius Press. ISBN 978-0-89870-800-4.
 • Outler, Albert C. July 1940. "The "Platonism" of Clement of Alexandria". The Journal of Religion 20 3: 217–240.
 • Ferguson, John 1974. Clement of Alexandria. New York: Ardent Media. ISBN 978-0-8057-2231-4.
 • Droge, Arthur J. 1989. Homer or Moses?: early Christian interpretations of the history of culture. Tuebingen: Mohr Siebeck. ISBN 978-3-16-145354-0.
 • Ashwin-Siejkowski, Piotr 2010. Clement of Alexandria on trial: the evidence of "heresy" from Photius Bibliotheca. Leiden: BRILL. ISBN 978-90-04-17627-0.
 • de Jáuregui, Miguel Herrero 2010. Orphism and Christianity in late antiquity. Berlin: Walter de Gruyter. ISBN 978-3-11-020633-3.
 • Osborn, Eric 2008. Clement of Alexandria. Cambridge: Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-09081-0.
 • Osborn, Eric March 1994. "Arguments for Faith in Clement of Alexandria". Vigiliae Christianae 48 1: 1–24.
 • Itter, Andrew C. 2009. Esoteric teaching in the Stromateis of Clement of Alexandria. Leiden: BRILL. ISBN 978-90-04-17482-5.
 • Clark, Elizabeth Ann 1999. Reading renunciation: asceticism and Scripture in early Christianity. Princeton: Princeton University Press. ISBN 978-0-691-00512-6.
 • Karavites, Peter 1999. Evil, freedom, and the road to perfection in Clement of Alexandria. Ledien: BRILL. ISBN 978-90-04-11238-4.


                                     

4. Viungo vya nje

 • Reinhold Koltz, Titi Flaui Clementis Alexandrini opera omnia E.B. Schwickerti, Lipsiae 1831, Vol. 1, 2, 3, and 4.
 • The role and view of Scripture in Clement of Alexandria Archived Machi 19, 2014 at the Wayback Machine.
 • "Clement of Alexandria" by Francis P. Havey, in the Catholic Encyclopedia, 1908.
                                     
 • Klemens wa Aleksandria Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Machi. Watakatifu wa
 • Panteno huko Aleksandria Misri mwishoni mwa karne ya 2, kikapata sifa hasa chini ya uongozi wa waandamizi wake, Klemens wa Aleksandria na Origenes.
 • Panteno huko Aleksandria Misri mwishoni mwa karne ya 2, kikapata sifa hasa chini ya uongozi wa waandamizi wake, Klemens wa Aleksandria na Origenes.
 • Tertuliani 160 hivi - 220 na Klemens wa Aleksandria 150 hivi - 212 Matumizi ya picha hizo yalipingwa na baadhi ya Wakristo, hasa wa mashariki, baada ya Uislamu
 • Epifani wa Salamina, Misri Eugenius wa Karthago, Tunisia Eulogi wa Aleksandria Misri Fulgensyo wa Ruspe, Tunisia Isidori wa Pelusium, Misri Klemens wa Aleksandria
 • kama mtunzi wa Waraka kwa Waebrania, na Klemens wa Aleksandria alimtaja kama mwandishi wa Waraka wa Barnaba, lakini hakuna hakika. Watakatifu wa Agano la

Users also searched:

...
...
...