Back

ⓘ Sean Connery
Sean Connery
                                     

ⓘ Sean Connery

Sir Thomas Sean Connery alikuwa mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Uskoti, ambaye huenda akawa anafahamika kama mwigizaji wa kwanza kuigiza katika mfululizo wa filamu za James Bond, aliyecheza katika filamu sita. Mnamo mwaka wa 1987 ameshinda tuzo ya Oscar kama mwigizaji msaidizi kutoka katika filamu ya The Untouchables. Mwaka wa 2000 amepewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Profile Turner Classic Movies
  • Sean Connery kwenye Internet Movie Database
  • BBC: Sean Connery Biography 1999
  • Sean Connery katika TCM Movie Database
  • Unofficial Sir Sean Connery fansite in Russia
  • Sean Connery katika Internet Broadway Database
  • Official website
  • Sean Connery katika Movies.com

Users also searched:

...