Back

ⓘ Antonio Casas
Antonio Casas
                                     

ⓘ Antonio Casas

Antonio Casas alikuwa mchezaji mpira wa miguu wa Hispania, aliekuja kuwa mwigizaji wa filamu kati ya mwaka 1941 na 1982 kifo chake kilivyowadia.

Casas awali aliaza kama mchezaji mpira wa miguu lakini baadae akajiingiza katika masuala ya ugizaji wa filamu mnamo mwaka 1941 na akafanya karibuni filamu 170 za kikawaida na TV pia hadi 1982. Casas alionekana katika filamu iliongozwa na Sergio Leone zile za Spaghetti Western, filamu yenyewe ilikuwa ile The Good, the Bad and the Ugly mnamo mwaka 1966, ni filamu ambayo iliwahi kuchaguliwa kuwa itakuwa bora kwa miaka yote.

Mnamo miaka ya 1970 alifanya kazi katika televisheni lakini akarudi tena katika uwanja filamu baada ya 1975 akuachia tena shughuliza uigizaji hadi kifo chake kilivyowadia mwaka 1982.

Users also searched:

...