Back

ⓘ Agrikola wa Chalon
                                     

ⓘ Agrikola wa Chalon

Agrikola wa Chalon alikuwa askofu bora wa mji huo kwa miaka 48 kuanzia mwaka 532.

Alishiriki mitaguso kadhaa.

Gregori wa Tours alimsifu kwa maadili na utendaji wake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Machi.