Back

ⓘ Ansovini
Ansovini
                                     

ⓘ Ansovini

Ansovini wa Camerino anakumbukwa kama askofu wa Camerino kuanzia mwaka 850 hadi kifo chake.

Alipenda kuleta amani na kusaidia maskini.

Kipindi fulani baada ya upadrisho alikuwa ameishi kama mkaapweke.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.