Back

ⓘ Carolyne Wanjiku Tharau
                                     

ⓘ Carolyne Wanjiku Tharau

Wanjiku alianza kungara katika maigizo ya vicheko ya jukwaani katika kipindi maarufu cha Churchil Show na mwaka 2013 alipata zaidi ya watazamaji 200.000 katika mtandao wake wa YouTube,Mwaka 2014 aliondoka Churchil baada ya mkataba wake na churchil kuisha,Wanjiku aliendelea kuonekana katika majukwaa tofauti ya Kenya ikiwemo The Hot Seatand alionekana pia katika sherehe za kuzaliwa za Daniel akiwa kama muigizaji mgeni.

Wanjiku amekuwa ni balozi katika kampuni mbalimbali ikiwemo Airtel, Airtel Money, Unilevers Blue Band, Honda, Bata, USAID, National Bank na makampuni mengine,alikuwa ni balozi wa Dettol, baada ya Julie Gichuru, Lulu Hassan na Patience Ozokwor. Pia amefanya kazi kama raisi katika makampuni ya National media kama mtangazji wa radio ya Q FM,

Users also searched:

...