Back

ⓘ Basili na Prokopi
                                     

ⓘ Basili na Prokopi

Basili na Prokopi walikuwa wamonaki walioteswa na kufungwa na kaisari Leo III wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 27 Februari.