Back

ⓘ Andrea wa Firenze
                                     

ⓘ Andrea wa Firenze

Andrea wa Firenze alikuwa askofu wa mji huo.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Februari.