Back

ⓘ Barbato
                                     

ⓘ Barbato

Barbato alikuwa askofu wa Benevento kwa miaka 19.

Kama padri alipinga kwa nguvu zote ushirikina na Upagani, na baada ya kufanywa askofu alipinga katika mitaguso mbalimbali fundisho la kwamba Yesu alikuwa na utashi wa Kimungu tu, si ule wa kibinadamu pia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Februari.

                                     

1. Marejeo

  • Kiitalia Alessandro Pratesi, Barbato, santo, Dizionario Biografico degli Italiani, vol. 6, 1964
  • Kifaransa Jean-Marie Martin, À propos de la Vita de Barbatus, évêque de Bénévent, in Mélanges de lEcole française de Rome. Moyen-Age, Temps modernes, tomo 86, 1 1974, pp. 137–164
  • Kiingereza Nicholas Everett, Patron Saints of Early Medieval Italy AD c.350-800 PIMS/ Durham University Press, 2016, pp.39-59