Back

ⓘ Mansueti wa Milano
Mansueti wa Milano
                                     

ⓘ Mansueti wa Milano

Mansueti wa Milano alikuwa Askofu wa 40 wa mji huo kuanzia mwaka 686.

Alipinga kwa nguvu zote na kwa kitabu maalumu fundisho la kwamba Yesu alikuwa na utashi wa Kimungu tu, si ule wa kibinadamu pia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Februari.

                                     

1. Marejeo

  • Cazzani, Eugenio 1996. Vescovi e arcivescovi di Milano in Italian. Milano: Massimo, 56–57. ISBN 88-7030-891-X.
  • Majo, Angelo 1989. "Mansueto, santo" in Italian. Dizionario della Chiesa Ambrosiana. 3. Milano: NED. p. 1863.
.
  • Alberto Maria Ghisalberti, Massimiliano Pavan, Dizionario Biografico degli Italiani, Istituto della Enciclopedia italiana, Milano, 1960.
  • Gaetano Moroni, Dizionario di erudizione storico-ecclesiastica da San Pietro sino ai nostri giorni, Venezia, Tip. Emiliana, 1879.
  • 2010 Celebrazioni dei santi, Messale ambrosiano quotidiano 4 in Italian. Milano: Centro Ambrosiano, 740–741. ISBN 978-88-8025-763-9.
                                     
  • padri wa Jimbo Kuu la Milano aliandika kwa niaba ya askofu Mansueti wa Milano barua kwa kaisari Konstantino IV kupinga uzushi kuhusu utashi wa Yesu Kristo
  • huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Quodvultdeus, Wafiadini wa Palestina 19 Februari Mansueti wa Milano Barbato, Lusia Yi Zhenmei n.k. Wikimedia Commons ina
  • Lusiani, Viktorini na Nise, Afrika Kaskazini Mansueti Severi, Apiani, Donati na Honori, Misri Mansueti wa Urusi, Tunisia Mapaliko, Baso, Fortunio, Paulo

Users also searched:

...