Back

ⓘ Mto Mississippi
Mto Mississippi
                                     

ⓘ Mto Mississippi

Mto Mississippi ndio mto mkubwa wa Marekani ni pia kati ya mito mirefu zaidi duniani kote.

Chanzo chake kipo kaskazini mwa Marekani kwenye ziwa Itasca katika jimbo la Minnesota. Inapita majimbo ya Minnesota, Wisconsin, Iowa, Illinois, Missouri, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Mississippi, Louisiana na kuishia katika ghuba ya Meksiko karibu na mji wa New Orleans.

                                     

1. Matawimto muhimu

Beseni la Mississippi ni sehemu kubwa ya eneo la Marekani. Matawimto muhimu ni:

  • Mto Illinois
  • Mto Arkansas
  • Mto Ohio
  • Mto Missouri
  • Mto Wisconsin
  • Mto St. Croix
  • Mto Minnesota

Users also searched:

...
...
...