Back

ⓘ Antoni Kauleas
                                     

ⓘ Antoni Kauleas

Antoni Kauleas, alikuwa Patriarki wa Konstantinopoli tangu mwaka 893 hadi 901.

Mmonaki tangu utotoni, halafu padri na abati, alifaulu kumaliza farakano na kurudisha umoja wa Kanisa.

Anaheshimiwa tangu kale na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Februari.