Back

ⓘ Aventino wa Troyes
                                     

ⓘ Aventino wa Troyes

Aventino wa Troyes alikuwa padri halafu abati baada ya kufanya kazi kubwa ya kukomboa watumwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Februari.