Back

ⓘ Godwin Mawuru
                                     

ⓘ Godwin Mawuru

Alizaliwa Shamva, Mawuru alianza kazi yake ya kuigiza jukwaani miaka ya themanini, akifanya kazi katika maeneo anuwai ikiwa ni pamoja na kuigiza, kuongoza na kufanya kazi nyuma ya jukwaa.Alicheza kwanza kama mkurugenzi katika filamu ya The Tree Is Mine mnamo mwaka 1987. Anajulikana kimataifa kwa filamu ya Neria ya mwaka 1993. Kama mtayarishaji, anajulikana sana kwenye soap opera ambayo ni ya kwanza na ndefu zaidi "Studio 263" ya Zimbabwe.

Amefariki akiwa na miaka 51 tarehe 24 Mei mwaka 2013.

Users also searched:

...