Back

ⓘ Beano wa Ireland
                                     

ⓘ Beano wa Ireland

Beano wa Ireland alikuwa Mkristo mkaapweke nchini Ireland, labda Mo-Béoóc wa Ros Cam.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Desemba.