Back

ⓘ Danieli wa Mnarani
Danieli wa Mnarani
                                     

ⓘ Danieli wa Mnarani

Danieli wa Mnarani alikuwa mmonaki ambaye alipata umaarufu kwa kuishi miaka 33 juu ya mnara karibu na Konstantinopoli.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Desemba.

                                     

1. Marejeo

  • Dawes, Elizabeth & Baynes, Norman H. 1948, Three Byzantine Saints: Contemporary Biographies of St. Daniel the Stylite, St. Theodore of Sykeon and St. John the Almsgiver. London: B. Blackwell. Online version from Internet Medieval Sourcebook.