Back

ⓘ Ajeriki
                                     

ⓘ Ajeriki

Ajeriki alikuwa askofu wa mji huo.

Alisifiwa na rafiki yake askofu Gregori wa Tours.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Desemba.