Back

ⓘ Belino wa Padova
Belino wa Padova
                                     

ⓘ Belino wa Padova

Belino wa Padova anakumbukwa kama askofu wa Padova wakati mgumu kuanzia mwaka 1128 hivi hadi kifodini chake.

Alitangazwa na Papa Eujeni IV kuwa mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Novemba.