Back

ⓘ Alberti wa Louvain
Alberti wa Louvain
                                     

ⓘ Alberti wa Louvain

Alberti wa Louvain alikuwa kwa miezi michache askofu wa Liège na kardinali hadi alipouawa bado kijana kwa kutetea uhuru wa Kanisa dhidi ya serikali.

Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mtakatifu mfiadini tarehe 9 Agosti 1613.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake.