Back

ⓘ Caron Bernstein
                                     

ⓘ Caron Bernstein

Caron Bernstein aliJishughulisha na uchoraji wakati akisoma katika Chuo cha Sanaa huko Johannesburg.Alipofika umri miaka kumi na nne alihamia New York alipopewa mkataba na kampuni ya uonyeshaji mitindo. Akiwa na miaka 23, Bernstein alibadilisha mwelekeo wake kutoka kwa kuonyesha mitindo hadi muziki, akisaini mikataba mitatu ya rekodi na lebo kuu wakati alikuwa na miaka 26.

Bernstein baadaye alirudi kwenye sanaa, akizingatia tabia zenye ugumu katika wahusika wa picha zake. Kazi yake amejumuisha wahanga wa kujiua, anorexia na alopecia. Ameelezea mtindo wake kama "ukweli nje ya kawaida" surrealistic anime.

                                     

1. Marejeo

  • Carons Official Myspace
  • Caron Bernstein at the Internet Movie Database

Jamii:Waliozaliwa 1970 Jamii:Watu walio hai Jamii:Waigizaji filamu wa Afrika Kusini

                                     

2. kazi za sanaa

  • Waxwork II: Lost in Time 1992 - The Masters Girl
  • Red Shoe Diaries|Red Shoe Diaries 18: The Game" 2000 V - Lily segment: "The Game"
  • Business for Pleasure 1997 - Isabel
  • Operation Midnight Climax film|Operation Midnight Climax 2002 - Kali Bondgirl Bond
  • Indiscretion 101 2005 - Kristin
  • Whos the Man? 1993- Kelly

Users also searched:

...