Back

ⓘ Sambasa Nzeribe
                                     

ⓘ Sambasa Nzeribe

Sambasa Nzeribe ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa Nigeria.

mzaliwa katika jimbo la Anambra nchini Nigeria, na ameshirikishwa katika filamu mbalimbali ambazo zilikuwa na mafanikio makubwa ikiwemo A Mile from Home" ya mwaka 2013, Out of Luck 2015, Just Not Married 2015, A Soldiers Story 2015 film 2015, Hotel Choco 2015, The Wedding Party 2016, The Island 2018, na Slow Country film 2018, Elevator Baby 2019, Kasala 2018 and The Ghost and the Tout 2018. Mwaka 2016 alishinda tuzo ya Africa Magic Viewers Choice Awards AMVCA kama muigizaji bora.

                                     

1. Filamu

 • Four Crooks And A Rookie 2011
 • Kasala film 2018
 • Just Not Married 2015
 • Elevator Baby 2019
 • The Ghost and the Tout 2018
 • The Wedding Party 2016 film
 • Out of Luck 2015 film
 • Slow Country film| 2018
 • A Soldiers Story 2015 film
 • The Island 2018
 • Hotel Choco 2015
 • Coming From Insanity 2018
 • A Mile from Home 2013