Back

ⓘ Brisi wa Tours
Brisi wa Tours
                                     

ⓘ Brisi wa Tours

Brisi wa Tours alikuwa askofu wa mji huo kwa miaka 47 baada ya mwalimu wake Martino wa Tours.

Gregori wa Tours aliandika maisha yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Novemba.