Back

ⓘ Agripini wa Napoli
                                     

ⓘ Agripini wa Napoli

Agripini wa Napoli anatajwa kama askofu wa sita wa mji huo wa Italia Kusini.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Novemba.