Back

ⓘ Gloria Bamiloye
                                     

ⓘ Gloria Bamiloye

Gloria Olusola Bamiloye ni mwanasanaa, mwigizaji, muongozaji na muandaaji wa filamu wa Nigeria. pia ni mwanzilishi mwenza wa Mount Zion Drama Ministry.

                                     

1. Maisha ya awali

Gloria alizaliwa Ilesa mjini katika jimbo la Osun nchini Nigeria. Kitaaluma ni mwalimu wa shule aliyepitia mafunzo ya ualimu huko Ipetumodu.

Ni mwanzilishi mwenza Mount Zion Faith Ministry aliyoianzisha tarehe 5 Agosti 1985 pamoja na mume wake Mike Bamiloye. Ameshirikishwa na kuandaa filamu mbalimbali za Nigeria.

Mwaka wa 2002 aliandika kitabu kiitwacho "The Anxiety of Single Sisters"

Users also searched:

...