Back

ⓘ Lilian Bach
                                     

ⓘ Lilian Bach

Lilian alizaliwa Lagos. Kulingana na kazi aliyokuwa akifanya baba yake,Lilian alijikuta akiishi sehemu mbalimbambali za nchi,alihitimu masomo yake ya elimu ya msingi katika shule ya jeshi, Port Harcourt na shule ya upili ya Idi Araba Secondary School, Lagos. baba yake alifariki kipindi akiwa na umri wa miaka 10

                                     

1. Taaluma na uanamitindo

Lilian alianza kungara mwaka 1990 kama mwanamitindo,akionekana kama binti mlimbwende zaidi nchini Nigeria huku akitokea katika matangazo mbalimbali ya biashara katika runinga,alianza kuonekana katika filamu mwaka 1997akiigiza filamu katika lugha za Kiyoruba na Kiingereza.

                                     

2. Filamu

 • Ready to Die 2004
 • Not Man enough 2003
 • Eletan 2011
 • Angels of Destiny 2006
 • Outkast 2001
 • Market Sellers 2003
 • Broken Edge 2004
 • The Search 2006
 • True Romance 2004
 • Married to a Witch 2001
 • Ogidan 2004
 • Big Pretenders 2004
 • Eja Osan 2008
 • Mi ose kogba 2005
 • The Cartel 2004
 • Joshua 2005
 • High Blood Pressure 2010
 • A Second Time 2004
 • Lost Paradise 2004
                                     
 • Fabian Adibe, David Ihesie, Ramsey Nouah Jnr 2003 Market seller 1&2 Lilian Bach Omotola Jalade Ekeinde, Kanayo O Kanayo 2003 The Intruder 1&2 Enebeli

Users also searched:

...