Back

ⓘ Amansi wa Rodez
                                     

ⓘ Amansi wa Rodez

Amansi wa Rodez alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Novemba.