Back

ⓘ Antonino wa Milano
                                     

ⓘ Antonino wa Milano

Antonino wa Milano alikuwa Askofu wa mji huo chini ya Walongobardi ambao aliwaelekeza kuungana zaidi na wenyeji kwa kujiunga na Kanisa Katoliki badala ya kuendelea na Uario.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Oktoba.