Back

ⓘ Aisha Kyomuhangi
                                     

ⓘ Aisha Kyomuhangi

Aisha Kyomuhangi ni mwigizaji, mwimbaji na muandaji wa filamu kutoka Uganda.

Aliandaa filamu ijulikanayo kama Kigenya Agenya. Pia ni mwanachama wa Bakayimbira Dramactors, majo ya kikundi cha maigizo.

                                     

1. Kazi

Aisha alikua akiyumbuiza kwa miaka 20. alishiriki kweny filamu ya The Last King of Scotland’. Ni mwanamke maarufu katika mfululizo wa televisheni za Byansi,’The Honorables’ and Mistakes Galz Do’ that airs on NTV na Pearl Magic. mwaka 2019,aliandaa filamu ya Kemi

Users also searched:

...