Back

ⓘ Flavia Tumusiime
                                     

ⓘ Flavia Tumusiime

Flavia Tumusiime ni mwigizaji wa Uganda, muundaji wa vipindi vya televisheni na redio, na mwenye sauti ya kisanaa, mshereheshaji na mwandishi wa Siku 30 ya Flavia. Anawakilisha kipindi cha alfajiri kwenye redio kwenye 91.3 Capital FM redio ndani ya Kampala,aliyekuwa muuandaji wa vipndi vya asubuhi katika NTV kwenye NTV Uganda pia alikuwa akifanya kipindi cha asubuhi na kile cha jioni kama nanga wa habari kwenye NTV habari za jioni. pia alifanya majukumu ya Kamali Tenywa ndani ya mfululizo za televisheni za Nana Kagga,Mfululizo wa Beneath The lies toka mwaka 2014 hadi 2016 pia alikuwa muandaji mkuu wa mchezo wa mpira wa miguu.

                                     
  • kwa jina la UG Factor. Mnamo Septemba 2013, Cleopatra alijiunga na Flavia Tumusiime pamoja na jaji na muimbaji wa Tusker Project Juliana Kanyomozi kama

Users also searched:

...