Back

ⓘ Bobby Tamale
                                     

ⓘ Bobby Tamale

Robert Tamale ni mwigizaji na muandaaji wa filamu.

Alianza kazi yake ya kuigiza kupitia It Cant Be, tamthilia inayorushwa katika kituo cha televisheni WBS TV. Pia alipewa jina lakwanza la uigizaji kama Davis mwaka 2016 katika filamu ya kiganda ijulikanayo kama The Only Son 2016 filamu|The Only Son. Pia alikuwa mtayarishaji mtendaji katika filamu. Filamu ilipendekezwa katika vipengele sita6 katika sherehe za filamu Uganda 2016 ikiwemo ubora wa video, ubora wa sauti, toleo bora la filamu, filamu ya mwaka, kiongozi bora wa filamu na filamu bora inayotamba. Bobby alikuwa mtayarishaji mtendaji wa Tiktok filamu|Tiktok na Love Faces filamu zote zikiongozwa na Usama Mukwaya.

Users also searched:

...