Back

ⓘ Aleksanda wa Trier
                                     

ⓘ Aleksanda wa Trier

Aleksanda wa Trier ni mmojawapo katika kundi la Wakristo 12 ambao mwaka 287, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kufa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika mji wa Trier.

Tangu kale wafiadini hao wote wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 5 Oktoba.

                                     

1. Orodha ya wafiadini wa Trier

 • Kresensi wa Trier
 • Kostansi wa Trier
 • Konstanti wa Trier
 • Yustini wa Trier
 • Papiri wa Trier
 • Leandro wa Trier
 • Ormisda wa Trier
 • Palmasi wa Trier
 • Joviani wa Trier
 • Sotero wa Trier
 • Masensi wa Trier
 • Aleksanda wa Trier

Users also searched:

...
...
...