Back

ⓘ Aurea wa Paris
Aurea wa Paris
                                     

ⓘ Aurea wa Paris

Aurea wa Paris alikuwa abesi wa kwanza wa monasteri ya mabikira 300 iliyofuata kanuni ya Mt. Kolumbani huko Paris.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Oktoba.