Back

ⓘ Adolfo na Yohane
                                     

ⓘ Adolfo na Yohane

Adolfo na Yohane walikuwa watoto wa baba Mwislamu na mama Mkristo waliouawa na mtawala wa eneo hilo, Abd-ar-Rahman II kwa kukiri hadharani imani ya Kikristo na hivyo kuhesabiwa na ndugu wa baba na serikali kama waasi.

Baadaye dada yao, Aurea aliwafuata katika dini na katika kuifia.

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 27 Septemba.

                                     

1. Marejeo

  • Kenneth Wolf: Christian Martyrs in Muslim Spain: Cambridge: Cambridge University Press: 1988: ISBN 0-521-34416-6.
  • Jessica Coope: Martyrs of Cordoba: Community and Family Conflict in an Age of Mass Conversion: Lincoln: University of Nebraska Press: 1995: ISBN 0-8032-1471-5.

Users also searched:

...
...
...