Back

ⓘ Aunakari
                                     

ⓘ Aunakari

Aunakari alikuwa askofu wa 18 wa mji huo kuanzia tarehe 31 Julai 561, akaongoza vizuri jimbo lake kwa kuimarisha maisha ya ibada na sala.

Pia aliendesha mtaguso wa Auxerre 578 au 585.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba.