Back

ⓘ Anatalo wa Milano
Anatalo wa Milano
                                     

ⓘ Anatalo wa Milano

Anatalo wa Milano alikuwa Askofu wa kwanza wa mji huo, Italia Kaskazini katikati ya karne ya 3.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Septemba.