Back

ⓘ Kwadrato wa Athens
Kwadrato wa Athens
                                     

ⓘ Kwadrato wa Athens

Kwadrato wa Athens alikuwa mwanafunzi wa Mitume ambaye alieneza na kutetea Ukristo hata kwa maandishi maarufu.

Habari zake tunazipata kutoka kwa mwanahistoria Eusebi wa Kaisarea.

Inasemekana alikuwa askofu wa Athens, lakini wengine wanasema si habari ya hakika.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Septemba.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Saint Quadratus in the Catholic Encyclopedia
  • A Fragment of the writings of Quadratus of Athens
  • Saint Quadratus in the Catholic Forum
                                     
  • Mathayo, na kumbukumbu za watakatifu nabii Yona, Kwadrato wa Athens Pamfili wa Roma, Aleksanda wa Roma, Eusebi, Nestabo na wenzao, Fransisko Jaccard
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

...