Back

ⓘ Aikardi wa Jumieges
                                     

ⓘ Aikardi wa Jumieges

Aikardi wa Jumieges tangu ujanani alikuwa mmonaki akaongoza kwa miaka 30 jumuia aliyoianzisha. Mwaka 684 aliachiwa na Filiberti wa Tournus monasteri yake iliyofuata kanuni ya Mt. Kolumbani, akaiongoza kama abati hadi kifo chake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka siku ya kifo chake.