Back

ⓘ Albino wa Lyon
                                     

ⓘ Albino wa Lyon

Albino wa Lyon alikuwa askofu mkuu wa 14 wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kwa miaka 10 hivi baada ya Yusto wa Lyon kungatuka.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba.

                                     

1. Marejeo

  • Kifaransa Dictionnaire darchéologie chrétienne et de liturgie, Tome X, première partie, Paris 1931, col. 193
  • Kiitalia Charles Lefebvre, Albino Alpino, vescovo di Lione, santo, in "Bibliotheca Sanctorum", vol. I, coll. 723-724
  • Kifaransa Louis Duchesne, Fastes épiscopaux de lancienne Gaule, vol. II, Paris 1910, pp. 157-162
  • Kilatini De S. Albino episcopo conf. Lugduni in Gallia, in Acta Sanctorum Septembris, vol. V, Parigi-Roma 1866, p. 44