Back

ⓘ Agabi wa Novara
Agabi wa Novara
                                     

ⓘ Agabi wa Novara

Agabi wa Novara anakumbukwa kama askofu wa pili wa Novara.

Mfuasi wa Gaudensi wa Novara, alichaguliwa naye kuwa askofu baada yake, akapewa daraja takatifu hiyo mwaka 417.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.