Back

ⓘ Bononi abati
                                     

ⓘ Bononi abati

Bononi abati, O.S.B. alikuwa abati nchini Italia kwa miaka 30 baada ya kuishi tangu ujanani kama mmonaki, hasa nchini Misri.

Papa Yohane XIX mwaka 1026 alimtangaza mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe ya kifo chake.