Back

ⓘ Betari wa Chartres
                                     

ⓘ Betari wa Chartres

Betari wa Chartres alikuwa mkaapweke na hatimaye askofu wa mji huo, Galia, leo Ufaransa).

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi, halafu na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Agosti.