Back

ⓘ Amalberga wa Maubeuge
Amalberga wa Maubeuge
                                     

ⓘ Amalberga wa Maubeuge

Amalberga wa Maubeuge alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kuolewa na kuzaa watoto wano, alipobaki mjane alijiunga na monasteri.

Tangu kale yeye na watoto wanne kati ya hao wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Julai.

                                     

1. Marejeo

  • Van Droogenbroeck, F. J., Kritisch onderzoek naar de interacties tussen de Vita S. Gudilae en de Gesta Episcoporum Cameracensium., Eigen Schoon en De Brabander 95 2012 311-346.
  • Van Droogenbroeck, F. J., Paltsgraaf Wigerik van Lotharingen, inspiratiebron voor de legendarische graaf Witger in de Vita Gudilae, Eigen Schoon en De Brabander 93 2010 113-136.
  • Van Droogenbroeck, F. J., Hugo van Lobbes 1033-1053, auteur van de Vita Amalbergae viduae, Vita S. Reinildis en Vita S. Berlendis, Eigen Schoon en De Brabander 94 2011 367-402.