Back

ⓘ Papa Agapeto I
Papa Agapeto I
                                     

ⓘ Papa Agapeto I

Papa Agapeto I alikuwa Papa kuanzia mwezi wa Mei au Juni 535 hadi kifo chake tarehe 22 Aprili 536.

Alimfuata Papa Yohane II akafuatwa na Papa Silverio.

Alisimama imara dhidi ya Waario, pia alimwondoa madarakani Anthimus, askofu mkuu wa Trabzon Uturuki aliyehamishimiwa na serikali kuwa Patriarki wa Konstantinopoli kutokana na mafunzo yake yaliyoangaliwa na Kanisa Katoliki kuwa ya uzushi.

Muda si mrefu baada ya kifo chake alianza kuheshimiwa kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake.

                                     

1. Marejeo

  • Louise Ropes Loomis, The Book of Popes Liber Pontificalis. Merchantville, NJ: Evolution Publishing. ISBN 1-889758-86-8 Reprint of the 1916 edition. English translation with scholarly footnotes, and illustrations.
  • Martindale, John R.; Jones, A.H.M.; Morris, John 1992, The Prosopography of the Later Roman Empire, Volume III: AD 527–641, Cambridge University Press, ISBN 978-0521201608
  • Dudden, Frederick H. 1905, Gregory the Great, London: Longmans, Green, and Co

Users also searched:

...
...
...