Back

ⓘ Bruno wa Wurzburg
Bruno wa Wurzburg
                                     

ⓘ Bruno wa Wurzburg

Bruno wa Wurzburg alikuwa chansela wa Italia kwa niaba ya ndugu yake kaisari Konrad II, halafu askofu na mtawala wa Wurzburg hadi kifo chake.

Bruno aliandika pia kitabu cha ufafanuzi wa Zaburi na tenzi kumi za Biblia, kwa kutumia madondoo ya Mababu wa Kanisa.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 27 Mei.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Inkunabel Psalterium beati Brunonis episcopi herbipolensis Anton Koberger, Nürnberg 1497, digitised by the Universidad de los Andes
  • Inkunabel Psalterium beati Brunonis episcopi herbipolensis, digitalised by the University of the Andes
  • Psalterium beati Brunonis episcopi herbipolensis Nürnberg 1497 and Lipsiae 1533, digitised by www.digitale-sammlungen.de