Back

ⓘ Anastasi wa Brescia
                                     

ⓘ Anastasi wa Brescia

Anastasi wa Brescia anakumbukwa kama askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini kuanzia mwaka 604 hivi hadi kifo chake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Mei.