Back

ⓘ Akko
Akko
                                     

ⓘ Akko

Akko ni mji wa pwani katika Israeli Kaskazini. Una bandari asili katika Hori ya Haifa.

Kutokana na umuhimu wa mahali ulipo, umekaliwa na watu mfululizo tangu zama za Shaba hadi leo, ingawa uliwahi kuangamizwa mara kadhaa.

Wakazi wa sasa ni 48.000 hivi.

Mwaka 58 Mtume Paulo alikaa siku moja na Wakristo wa huko mwishoni mwa safari yake ya tatu ya kimisionari, akielekea Yerusalemu Mdo 21:7

Umeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia.

Ni pia makao makuu ya dini ya Bahai.

                                     

1. Viungo vya nje

Akko travel guide kutoka Wikisafiri

  • Official website of the Old City of Acre
  • Picart map of Old Acre, 16th century. Eran Laor Cartographich Collection, The National Library of Israel.
  • Orit Soffer and Yotam Carmel,Hamam al-Pasha: The implementation of urgent "first aid" conservation and restoration measures, Israel Antiquities Site – Conservation Department
  • Acre Municipality official website
  • Survey of Palestine map of Acre, 1929 Eran Laor Cartographic Collection, The National Library of Israel.
  • Survey of Western Palestine, Map 3: IAA, Wikimedia commons

Users also searched:

...
...
...