Back

ⓘ Pafo
Pafo
                                     

ⓘ Pafo

Pafo kwa Kigiriki cha zamani: Πάφος ; kwa Kituruki: Baf ulikuwa mji mkuu wa kisiwa cha Cyprus wakati wa Dola la Roma. Kwa sasa ni makao makuu ya wilaya ya Pafo.

Pafo ilifikiwa na wamisionari Mtume Paulo na Barnaba mwaka 45 hivi Mdo 13:4-12. Katika nafasi hiyo, liwali Sergius Paulus aliongokea Ukristo.

Mji huo umeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia.

                                     

1. Viungo vya nje

 • Paphos Life Blog Lifestyle Blog for expats and locals
 • Paphos Chamber of Commerce and Industry website
 • Official Cyprus Government Web Site – Towns and Population
 • Municipality of Paphos – official website
 • Visit Paphos – Paphos regional board of tourism
 • About Paphos
 • The University of Sydney Archaeological excavations of the Paphos Theatre Site
 • Paphos Travel directions
 • Ancient Cyprus in the Ashmolean Museum
 • Panoramic views of Paphos
 • "Paphos". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.

Majiranukta kwenye ramani: 34°46′N 32°25′E

Users also searched:

...
...
...