Back

ⓘ Benedikta wa Roma
                                     

ⓘ Benedikta wa Roma

Benedikta wa Roma alikuwa bikira Mkristo wa mji huo aliyejiunga na Galla katika monasteri aliyoianzisha karibu na Basilika la Mt. Petro.

Alifariki siku 30 baada yake kama alivyotabiriwa katika njozi.

Sifa zake zinajulikana kupitia kitabu cha Majadiliano cha Gregori Mkuu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 6 Mei.